Mchapishaji
United Nations

Congo katika mwaka wa 2018-2020.Unyanyasaji huo haukufanywa tu na mashirika ya Umoja wa Mataifa kama vile WHO, la kuwahudumia Watoto, UNICEF na la Wahamiaji, IOM, lakini pia mashirika ya misaada kama vile Oxfam, madaktari wasio na mipaka, World Vision na ALIMA.Mmoja ya waathiriwa, mwanamke ambaye alikuwa mfagiaji katika kituo cha huduma ya wagonjwa wa Ebola,mjini Butembo amesema alilazimishwa kufanya mapenzi na mfanyakazi wa shirika la WHO kabla ya kupewa ajira hiyo.Wanawake waliohojiwa walisema washambuliaji wao hawakutumia udhibiti wa uzazi, na kusababisha mimba .Pia  iligundulika kuwa wabakaji waliwalazimisha wanusura kutoa mimba. Mkuu wa WHO Ghebreyesus alisema kuwa ni Lazima hatua ichukuliwe mara moja, na uwajibikaji. Kwanza, ni msaada, ulinzi na haki kwa waathirika na wanusura; Pili ni hatua za kushughulikia usimamizi na kushindwa kwa wafanyikazi na Tatu ni mageuzi ya jumla ya miundo na utamaduni wetu.

Nchi ambazo zinahusiana na
Lugha ya makala
Aina ya kulinda usalama hii inahusiana na
Maeneo ya Programu/Mada