Displaying 1 - 10 of 72
Zoezi hili la sehemu mbili linatoa maswali mapana ya awali kwa mashirika kutambua na kushughulikia sababu za msingi za unyonyaji wa kingono, dhuluma na unyanyasaji wa kijinsia (sexual exploitation, abuse and sexual harassment /SEAH) na kuchunguza…
Hati
RSH Spin Off Product
Hati hii ni muhtasari wa makala yaliyozalishwa na Bond Utawala Bora kwa Kulinda usalama: Mwongozo wa Bodi za Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Uingereza.
Hati
RSH Primary Product
Maelezo haya ya jinsi-ya yanaangazia jinsi Mashirika ya Kijamii yanaweza kujiandaa na kusimamia uchunguzi wa kulinda usalama nchini Nigeria. Maelezo haya hayajumuishi jinsi ya kufanya uchunguzi.  Rejelea chati ya mtiririko ya jinsi ya…
Hati
RSH Primary Product
Maelezo haya yanaonyesha: (1) mbinu ya muingiliano ni nini; (2) kwa nini kutumia mbinu ya muingiliano ni muhimu na; (3) jinsi ya kufunganisha kuunganisha mbinu ya muingiliano katika hatua za kulinda usalama. Maelezo haya yanaambatana na picha…
Hati
RSH Primary Product
Maelezo haya ya jinsi-ya yanaonyesha jinsi kulinda usalama inaweza kufunganishwa kuunganishwa katika michakato ya Rasilimali Watu kufuatia mzunguko wa uajiriwa wa mfanyakazi. Maelezo haya yanaelezea wazi jukumu la Rasilimali Watu katika kuhakikisha…
Hati
RSH Primary Product
Kiolezo hiki kinaambatana na Maelezo ya Kituo cha Rasilimali na Usaidizi ya jinsi ya kujitayarisha na kusimamia uchunguzi wa kulinda usalama. Tumia kiolezo hiki kuelezea na kupanga uchunguzi wako wa kulinda usalama.
Hati
RSH Primary Product
Nakala hii ya vidokezo inatoa utangulizi katika kulinda usalama nchini Sudan Kusini. Inafafanua maneno tofauti yanayotumika na kueleza jinsi mamlaka yanavyounganishwa katika kulinda usalama. Nakala hii ya vidokezo pia inaeleza waathiriwa / manusura…
Hati
RSH Primary Product
Mwongozo huu wenye kurasa 20 unaangazia kulinda usalama unaojumuisha ulemavu katika programu na shughuli kwenye sekta ya kibinadamu na maendeleo. Mazoea ya kulinda usalama unaojumuisha ulemavu yanaweza kusaidia kulinda vizuri usalama wa kila mtu; ni…
Hati
RSH Primary Product
Kwa miaka miwili iliyopita, Kituo cha Rasilimali na Usaidizi cha Kulinda Usalama (RSH) kimekuwa kikitoa ushauri wa kulinda usalama katika RSH Africa Hub. Shughuli hii inapoelekea kufika tamati, ni wakati wa kutafakari juu ya athari ya ushauri huu…
Webinars
RSH Primary Product
Tazama uhuishaji huu ili kujifunza jinsi ya kujiandikisha kwa ajili ya kozi ya mafunzo ya kielektroniki ya Kituo cha Rasilimali na Usaidizi (Resources and Support Hub /RSH) ya Masuala ya Kulinda usalama. Ili kutazama video iliyo na maelezo mafupi…
Vyombo anuwai
RSH Primary Product