Displaying 1 - 10 of 55
Hati hii ni muhtasari wa makala yaliyozalishwa na Bond Utawala Bora kwa Kulinda usalama: Mwongozo wa Bodi za Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Uingereza.
Hati
RSH Primary Product
Kifurushi hiki cha mafunzo ya Kushughulikia kisa ya Kituo cha Rasilimali na Usaidizi kinatoa mchakato wa hatua kwa hatua ili kumsaidia mwendeshaji kutoa mafunzo kuhusu kushughulikia kisa. Mafunzo haya yanafaa kwa hadi wanafunzi 20 ambao wanafanya…
Hati
RSH Spin Off Product
Nakala hii ya vidokezo inatoa utangulizi katika kulinda usalama nchini Sudan Kusini. Inafafanua maneno tofauti yanayotumika na kueleza jinsi mamlaka yanavyounganishwa katika kulinda usalama. Nakala hii ya vidokezo pia inaeleza waathiriwa / manusura…
Hati
RSH Primary Product
Taarifa hii ya picha inatoa utangulizi katika kulinda usalama. Inafafanua maneno tofauti yanayotumika na kueleza jinsi mamlaka yanavyounganishwa na kulinda usalama. Nakala hii ya vidokezo pia inaeleza waathirika / manusura wa kimsingi ni kina nani…
Vyombo anuwai
RSH Spin Off Product
Tazama uhuishaji huu ili kujifunza jinsi ya kujiandikisha kwa ajili ya kozi ya mafunzo ya kielektroniki ya Kituo cha Rasilimali na Usaidizi (Resources and Support Hub /RSH) ya Masuala ya Kulinda usalama. Ili kutazama video iliyo na maelezo mafupi…
Vyombo anuwai
RSH Primary Product
Maelezo haya ya jinsi-ya yanaeleza sera ya kulinda usalama ni nini, kwa nini ni muhimu kwa asasi za kiraia /AZAKi (civil society organizations /CSO) na jinsi Asasi za Kiraia (AZAKi) zinavyoweza kuunda au kusasisha sera zao za kulinda usalama.…
Hati
RSH Primary Product
Hapa utaendelea na FHF katika safari yao ya kulinda usalama. Moduli hii itashughulikia jinsi: Kulinda usalama kunapaswa kuzingatiwa na kujumuishwa katika shughuli za ufuatiliaji, tathmini na ujifunzaji katika kipindi chote cha programu; na…
Mafunzo
Nakala hii ya vidokezo inaeleza ni kwa nini viongozi nchini Sudan Kusini wanapaswa kupatia kulinda usalama kipaumbele katika shirika lao na wajibu na majukumu yao ni yapi katika kuhakikisha mifumo bora ya kulinda usalama. Iwapo ungependa kujua…
Hati
RSH Primary Product
Mashirika madogo yanayofanya kazi kwenye sekta za misaada na maendeleo yanaweza kuona wazo la namna ya kutekeleza hatua za kulinda usalama linaogopesha. Mkutano huu wa kimtandao utaangazia hatua zinazoweza kuchukuliwa ili kutekeleza kulinda…
Webinars
RSH Primary Product
Maelezo haya mafupi ya jinsi-ya yanatoa mwongozo madhubuti kwa watafiti au wafanyakazi wa ufuatiliaji na tathmini wanaokusanya data au kutafiti masomo yanayohusiana na Unyonyaji, Dhuluma na Unyanyasaji wa Kingono (SEAH). 
Hati
RSH Primary Product